Madhara ya mtoto kucheza sana tumboni

Ujauzito ni kipindi muhimu sana katika maendeleo na ukuaji wa mtoto tumboni mwa mama. Maendeleo na ukuaji huu unaweza kuathiriwa na vitu mbalimbali ikiwemo baadhi ya dawa zinazotumika wakati wa ujauzito. Mjamzito anapokunywa dawa, dawa hunyonywa na kuingia kwenye damu ambapo huweza kuingia kwa mtoto kupitia kondo la uzazi.

Baadhi ya dawa zinaweza kuleta madhara kwa mtoto tumboni ambayo yataathiri ukuaji wake.

Fahamu njia zitakazo saidia mtoto kucheza tumboni

Kwa hiyo ni muhimu sana kuwa mwangalifu na dawa unazotumia wakati wa ujauzito. Ikumbukwe si dawa zote zitaathiri ukuaji wa mtoto. Dawa hufanyiwa uchunguzi wa usalama wake wakati wa ujauzito. Utafiti huu huanza kufanyika kwa wanyama. Tafiti za kiepidemiolojia zinaweza kufanyika kuthibitisha usalama kwa binadamu wakati wa ujauzito.

Hizi hufanyika kwa kutazama dawa wajawazito walizotumia na kama kuna madhara yaliyotokea kwa mtoto. Pia usalama wa dawa hutofautiana kulingana na ukubwa wa mimba, kuna dawa ambazo si salama wakati wa miezi 3 ya kwanza lakini huweza kutumika miezi 4 na kuendelea ya mimba.

Makundi haya ni:. Baadhi ya dawa ambazo ni salama wakati wa ujauzito ni Amoxicillin, Ampicillin, Clindamycin, Erythromycin, Penicillin na Nitrofurantoin. Baadhi ya dawa zilizothibitishwa kuwa tishio kwa afya ya mtoto wakati wa ujauzito ni Streptomycin, Tetracycline, Cyclophosphamide, Cocaine, Methotrexate, Kanamycin, Ethanol, Valproic acid na Phenobarbital.

Dawa nyingi huleta madhara hasa miezi 3 ya mwanzo wa ujauzito. Hiki ni kipindi ambacho viungo mbalimbali vya mtoto huanza kutengenezwa, hivyo dawa pamoja na kemikali mbalimbali huweza kuathiri uumbaji wa viungo hivi na kuleta matatizo. Baadhi ya madhara yatokanayo na matumizi holela ya dawa wakati wa ujauzito ni:. You are commenting using your WordPress.

You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account.

Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. Search for: Search. Date: April 4, Author: Dr. Edward Moshi 0 Comments.

Usalama Wa Dawa Dawa hufanyiwa uchunguzi wa usalama wake wakati wa ujauzito.Kutokana na teknolojia ya vyombo vya kisayansi na upana wa elimu ya madaktari, kumekuweko uwezekano wa kutambua aina ya mtoto aliye tumboni kwa mama mja mzito hata kabla hajajifungua. Japokuwa uwezekano huu upo, lakini vilevile ni mambo ambayo si yenye uhakika mia kwa mia na huenda makosa yakatokea kama kesi mbalimbali zilizotangazwa na kuandikwa.

Juu ya hivyo, hawawezi kutambua hivyo hadi miezi ipite na sio mimba inapokuwa bado changa, tena lazima mama ahakikishwe anawekwa kwenye scanner katika hali ambayo yule mtoto kule tumboni awe amepanua miguu yake ili waweze kupata picha ya aina ya jinsia yake, ikishindikana mtoto kuwa katika hali hiyo, basi zoezi zima linafeli na mama ataambiwa aende mara nyingine kujaribiwa tena na tena!

Hivyo si kazi rahisi na si jambo lenye uhakika sana. Inapasa tutambue kwamba japokuwa madaktari wanaweza kutambua jinsia ya mtoto, lakini hawana uwezo wa kujua elimu ya kinachoumbika matumboni kama huyo mtoto ataendelea kuishi humo hadi azaliwe, au atafariki akiwa tumboni, bali ni Apendavyo Allaah Subhaanahu wa Ta'ala Kukiacha kiumbe chake kiendelee kuishi humo au kisiendelee.

Anasema Allaah Subhaanahu wa Ta'ala :. Allaah Anajua mimba abebayo kila mwanamke, na kinachopunguka na kuzidi matumboni. Na kila kitu Kwake ni kwa kipimo [Ar-Ra'ad: 8]. Wala hawawezi kujua kama atazaliwa na kuishi muda gani, hali ya maisha yake na rizki yake, kama atakuwa mwema au muovu n.

Haya yote ni elimu Aliyokwishaijua Muumba Mwenyewe Ambaye Humtuma Malaika Wake kuyaandika kwa kila kiumbe kinapotimia miez minne tumboni mwa mama yake:.

madhara ya mtoto kucheza sana tumboni

Kutoka kwa Abu 'Abdur-Rahmaan 'Abdullaah bin Mas'uud Radhiya Allaahu 'anhu kwamba: "Ametuelezeza Mtume Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam ambaye ni mkweli mwenye kuaminiwa Hakika kila mmoja hukusanywa umbo lake katika tumbo la mama yake siku arubaini akiwa ni mkusanyiko wa mbegu za uzazi za mama na babakisha arubaini zifuatazo huwa ni donge la damu, kisha arubaini zijazo huwa pande la nyama, kisha Allaah Humtuma Malaika kwake na kumpulizia roho na Malaika huyo anaamrishwa maneno manne; Kuandika rizki yake, ajali yake umri atakaoishi dunianiamali zake, mtu muovu au mwema.

Funguo za ghayb ni mambo matano ambayo hakuna anayeyajua isipokuwa Allaah; Hakika kuijua Saa Qiyaamah kuko kwa Allaah. Na Yeye Ndiye Anayeiteremsha mvua. Na Anavijua viliomo ndani ya matumbo ya uzazi. Na haijui nafsi yoyote itachuma nini kesho. Wala nafsi yoyote haijui itafia nchi gani.

Hakika Allaah Ndiye Mwenye kujua, Mwenye khabari. Labda tuifafanue Aayah hiyo ya Surat Luqmaan vizuri kwa upande wa kilugha ili ifahamike vizuri na kwa usahihi. Anaposema Allaah:. Kwa hiyo kusudio ni aina gani ya kiumbe hicho kitakuwa kama tulivyotaja hapo; mtu wa kheri au wa shari, ataishia Peponi au motoni n.

Hivyo viliomo ndani ya matumbo ya uzazi sio tu kujua ni mwanamume au mwanamke bali ina maana pana zaidi ambayo hakuna ajuaye isipokuwa Allaah Subhaanahu wa Ta'ala kama Anavyosema:. Sema: Hapana katika mbingu na ardhi ajuaye ya ghaibu isipokuwa Allaah. Wala wao hawajui lini watafufuliwa [An-Naml: 65]. Hitimisho ni kwamba ni vizuri kujiepusha kutaka kujua hayo bali mwachie Allaah Subhaanahu wa Ta'ala na umuombe Akujaalie ujifungue kwa salama na awe mtoto wa kheri, kwani hayo ndio muhimu zaidi kuliko kutaka kujua mtoto wa kiume au kike na pengine yule unayemtaka sana awe, ageuke kuwa mtoto wa shari.

Na si jambo la hekima, kwa maana kuna baadhi ya watu wanatamani watoto wa aina fulani, na pindi wanapogundua sivyo, basi hujuta na kusikitika ma kutokuwa na raha tena na kiumbe hicho hata kabla hakijazaliwa. Pia baadhi ya hospitali za Ulaya zimekuwa zinazuia kufanya zoezi hilo kwa sababu baadhi ya jamii haswa mabaniani Hindus wanaua watoto pindi wanapojua kuwa ni wa kike, hayo yametokea Uingereza na kufanya baadhi ya miji kuzuia hospitali zake kufanya jambo hilo.

Vile vile wengine hutaka kujua mapema ni mtoto gani kwa ajili ya kujitayarisha kununua vitu vya mtoto kwa kulingana na jinsia yake. Kama wa kiume, kununua nguo za kiume na vitu vinavyomhusu mtoto wa kiume, na kama wa kike kununua nguo za kike na vitu vinavyomhusu mtoto wa kike n.

Jambo hili pia silo la busara kwani kama tulivyotaja juu kuwa hakuna mwenye uhakika kama huyo mtoto atazaliwa salama. Matokeo yake huwa ni khasara na huzuni ikazidi baada ya tabu na gharama zote hizo. Skip to main content. Search form. Maswali: Uzazi - Malezi. Na Allaah Anajua zaidi. Uzazi Wa Kupanga Unafaa?Nina imani mama yangu ni mmoja wa wanawake walio wengi, na kama sio karibu wanawake wote ambao kwa muda wote wa ujauzito huwa hawajui jinsia za watoto wao hadi siku ya kujifungua.

Hii haijawahi kuwa ajabu na hasa kwa miaka ya nyuma ambayo sayansi na teknolojia ilikua bado ni ya kiwango cha chini, lakini habari njema ni kwamba sasa hivi wanawake tunaweza kuwafanyia vipimo na kugundua jinsia za watoto wao wangali bado wakiwa tumboni ikiwa wanahitaji iwe hivyo. Pamoja na haya yote, kama inavyofahamika, tangu siku ya kwanza mwanamke anapojigundua kuwa ni mjamzito hadi siku ya mwisho anapojifungua, mwanamke hupitia safari ya miezi tisa iliyochanganyikana na mabadiliko mengi sana.

Mabadiliko haya huja kwa sura tofauti na kugusa mifumo karibu yote kwenye mwili wa mwanadamu, na hasa, kisaikolojia, kwenye mfumo wa chakula, mfumo wa vichocheo, na mfumo wa uzazi wenyewe kutokana na maendeleo ya ukuaji wa mtoto akiwa tumboni.

Mabadiliko haya mbalimbali yanapotokea, husababisha pia dalili mbalimbali zinazojionyesha mwilini na kupitia dalili hizi, wanawake wenyewe huzitumia kama ni ishara za kutafsiri jinsia ya mtoto kama ni wa kike au wa kiume kulingana na dalili husika ambayo mjamzito mwenyewe huipitia.

Na inasemekana kwa miaka iliyopita zimekuwa dhahiri na hata sasa baadhi ya wanawake wanazisadiki na kukiri kuwa ni kweli dalili hizi zinatafsiri jinsia ya mtoto. Wajawazito zaidi ya 6 kati ya 10 hupitia tatizo la uchovu mkali asubuhi baada ya kuamka hasa kwa miezi mitatu ya kwanza. Wanawake wengi wanasadiki kuwa hali hii mara nyingi inaashiria kuwa mtoto atakayezaliwa ni wa kike.

Kisayansi ipo hivi, mwanamke mwenye ujauzito wa mtoto wa kike anakuwa na kiwango kikubwa cha vichocheo na kusababisha uchovu kuwa mkubwa, lakini mwanamke mwenye ujauzito wa mtoto wa kiume anabeba kiwango kidogo cha homoni au vichocheo na hivyo kumfanya awe na uchovu wa kawaida hasa wakati wa asubuhi.

Dalili nyingine kubwa ni mihemko ya hisia. Kuna baadhi ya wajawazito wanakuwa na tabia za kubadilika badilika. Wanakuwa wepesi kubadilika na kukasirika bila sababu ya msingi. Watu wengi hudhani kuwa wajawazito wa namna hii watazaa watoto wa kiume na wale ambao wanakuwa sio wa kubadilika badilika watazaa watoto wa kike.

Lakini ukweli ni kwamba wajawazito wote hupitia hali ya mabadiliko ya mihemko hasa muhula wa kwanza, na wa tatu wa ujauzito. Na pia kubadilika kwa mihemko kunachangiwa na mambo kadha wa kadha kama vile msongo wa mawazo, vichocheo, na sababu zingine za kisaikolojia hivyo dalili hii haina uhusiano na jinsia ya mtoto. Mwanzo Habari Kitaifa. Pia Soma. Watanzania wahimizwa kushirikiana na wasadizi wa kisheria kutokomeza ndoa za utotoni Seedstars na Tigo zaungana kufanikisha mkutano wa wajasiriamaali wa teknolojia Tanzania Aliyetoa taarifa za uongo kuwa ana corona nchini Tanzania akamatwa Bibi wa miaka apona corona Uingereza.Natural Health Natural Health.

Novemba 05, 1 comment. Tuma Hii kwa Barua pepe Blogu Hii! Shiriki kwenye Twitter Shiriki kwenye Facebook. Maoni 1 :. Unknown 13 Septemba Pakia zaidi First Name. Last Name. Popular Tags Blog Archives. Moja ya makala zilizopita niliwahi kuongelea namna ya kupata Unaweza kua umepata ms Uzazi wa mpango una mambo mengi sana. Karibuni tena wapendwa wasomaji wa blog hii ya siri za afya bora na Pre mature ejaculation ni nini? Hii ni hali ambayo mwanaume anatoa mbegu mapema sana kipi Maabukizi ya virusi vya ukimwi sio neno jipya sana masikioni Tunaendelea na makala zetu za siri za afya bora na leo tutaongelea d Wanawake wa kiafrika hua wana nywele fupi na ngumu, yaani hii ni asili yao tofauti na wanaw Free Online Counter.

Kila mmoja wetu anajua umuhimu mkubwa wa afya katika maisha ya binadamu lakini sio wote tunaojua njia bora za kuboresha afya zetu. Kupitia blog hii utajifunza njia bora za kuboresha afya yako ili uweze kuwa na maisha marefu na yenye furaha.

Follow by Email. Inaendeshwa na Blogger. Powered by Blogger.Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya. Kufahamu jinsia ya mtoto akiwa tumboni kwa kutumia teknolojia ni mtindo ambao umekuwa ukipata umaarufu, lakini pia kuzua mdahalo mkubwa hasa katika nchini za Kiafrika.

Kila mtu na imani yake, baadhi ya kina mama huamini kujua jinsia ya mtoto mapema ni kutafuta mikosi. Lakini wengine huamini ni jambo jema kwani inakupa fursa ya kujiandaa na vitu muhimu vya mtoto, kwa mfano mavazi na pia jina la mtoto.

madhara ya mtoto kucheza sana tumboni

Wanawake wa kisasa hupendelea zaidi kujua jinsia ili waweze kuandaa sherehe maalumu inayoitwa Baby S hower. Katika sherehe hii akina mama hawa huweka wazi jinsia ya mtoto kwa kupamba mandari ya pinki kwa mtoto wa kike na buluu kwa mtoto wa kiume. Baadhi hupokea zawadi zenye rangi mbali mbali zisizobagua jinsia mfano rangi nyeupe, kijivu, njano na hata nyeusi na nyekundu. Si wote wanaotafuta kujua jinsia ya mtoto mapema kwa ajili ya sherehe, wengine hutafuta kujua ili wajiandae na mavazi ya mtoto.

Katika harakati za kufahamu jinsia ya mtoto kitamaduni kuna mambo mengi sana hufanyika, kwani baadhi hutoa majibu ya jinsia ya mtoto kwa kumwangalia mama mjamzito kwa macho tu. Baadhi husema mama mjamzito akivimba na kuharibika sura maana yake amebeba mtoto wa kike, kwani mtoto wa kike anawivu. Lakini kama mama mjamzito anapendeza ngozi sura na shepu huyu amebeba mtoto wa kiume kwa sababu watoo wa kiume hawana wivu.

Lakini njia inayoaminika zaidi ni kutazama jinsia kwa kutumia kifaa maalumu cha hospitali yaani kufanya Ultrasound. Mama Janeth yeye anaumri kati ya miaka kati ya 55 na 63 anasema hajui lolote kuhusu kuangalia mtoto akiwa tumboni na haaminikuna manufaa ya kufanya hivyo.

Kwa kweli kusema ukweli mimi sijui kabisa kuhusu hicho kitu," anasema mama Janeth. Naye Viola, mama wa watoto watatu, anasema alikuwa na hamu ya kujua jinsia lakini awali hakukubaliana na matokeo ya daktari akataka mpaka ajifungue ndio aamini. Yaani mpaka nikanunua vitu vya mtoto vya rangi zisizobagua basi nilipojifungua kuona kweli wa kiume ndo nikaamini," Violla anaiambia BBC.

Ujue siku hizi sio kama zamani kipindi mtoto anavaa nguo yoyote ya rangi yoyote, siku hizi nmambo yamebadilika.

Kama ni mtoto wa kike aonekane ki-kike zaidi na kama ni wa kiume aonekane kiume zaidi," Joyce anaiambia BBC.

Kujua Aina Ya Mtoto Aliyeko Tumboni Kwa Ultra Sound Kabla Hajazaliwa

Jokate: Huwezi kunishusha chini kirahisi. Daktari anasema kuwa mwanzoni ilitumika X-Ray kubaini jinsia ya mtoto mtoto lakini baadae ikaonekana kwenye mimba changa si salama kwa sababu ya mionzi nururishi.

Dkt Mmile anasisitiza kuwa umuhimu wa kuangalia jinsia uliongezeka umaarufu wakati ambapo nchi nyingine ziliweka marufuku ya kuwa na mtoto zaidi ya mmoja mfano China.

Wakati huo waliruhusiwa kuchagua jinsia ya mtoto wanayemtaka na waliruhusiwa hata kutoa mimba kama ulitaka mtoto wa kike akaja wa kiume. Habari Michezo Video Vipindi vya Redio. Teknolojia ya Ultrasound na uzazi: Kuna madhara au manufaa yoyote kufahamu jinsia ya mtoto kabla hajazaliwa? Lulu A. Sanga BBC Swahili. Haki miliki ya picha HISANI Kufahamu jinsia ya mtoto akiwa tumboni kwa kutumia teknolojia ni mtindo ambao umekuwa ukipata umaarufu, lakini pia kuzua mdahalo mkubwa hasa katika nchini za Kiafrika.

Rejea mwanzo wa ukurasa. Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii. Video Masaibu ya kuzaliwa na jinsia mbili Kenya.Jinzi chembechembe umbile za kijusu cha binadamu zinavyo ongezeka na kufikia trillioni kwa mtu mzima,labda ni jambo moja la kustaajabisha zaidi kati ya maumbile duniani kote. Wanautafiti wanafahamu kwamba nyingi ya Kazi za kawaida zinatotekelezwa na mwili wa binadamu zinamarishwa wakati wa ujauzito- mara mingi, muda mrefu kabla ya kuzaliwa kwa mtoto.

Ukuaji wa kijusu kabla ya kuzaliwa inaendelea kufahamika kuwa ni wakati ya utaharishaji ambapo kijusu umbile upata viungo vingi na kuanza kujizoesha mbinu tekelezi zitakazohitaji maishani, mara baada ya kuzaliwa. Ujauzito kwa binadamukwa kawaida Udumu takribani wiki 38 kuanzia siku ya kwanza Wa kutunga mimba hadi kuzaliwa.

Katika wiki 8 za kwanza ukuaji wa kijusu cha binadamu huitwa embryoni embryo na humaanisha "kukua ndani". Kuanzia wiki ya 8 hadi mwisho wa mimba " binadamu umbile uitwa kijusu" kinacho maanisha "mwana ambaye hajazaliwa" Katika wakati huu, huitwao wakati wa ujusu, mwili hukua zaidi na Sehemu zake kuanza kufanya kazi.

Jihusishe na ujifunze jinsi unavyoweza kukaa kwa afya wakati wa mimba. Unaweza kumuuliza daktari wako maelezo ili kumpa mwanao msingi bora wa maisha. Kila mwaka mamilioni ya wanawake hubeba mimba. Ubora wa mimba utategemea na ufahamu wa mwanamke katika kuyaweka mazingira bora kwa kiumbe kinachokuwa fetus. Kufahamu matatizo yanayoweza kumdhuru mtoto tumboni kuna wawezesha wajawazito kuwa waangalifu zaidi kuliko kutofahamu lolote.

Hii hasa husababishwa na ule udhaifu alionao mtoto kwani hutegemea mama yake kwa karibu asilimia Hivyo basi kitoto kinachokuwa tumboni chaweza kusumbuliwa au kumdhuru kiakili au kimwili kilingana na kiwango alichoumia mwanamke huyo. Chakula bora na mazoezi ni muhimu kwa wote yaani mama mtarajiwa na mtoto atakaezaliwa. Miongoni vya vitu vinavyoweza kumdhuru mtoto tumboni ni magonjwa, caffaine, madawa ya kulevya, pombe,sigara, mionzi hasa isiyoyalazima.

Asilimia kuwa ya madawa anayokunywa mjamzito hupitia kwenye "Placenta' na kuingia kwenye mishipa ya damu ya mtoto. Ujauzito una vipindi mbalimbali kufuatana na ukuaji wa mtoto. Si madawa yote hayafai kwa wajawazito na si madawa yote yanafaa wakati wote wa ujauzito.

Madawa mengine hayafai miezi ya mwanzo na mengine hayafai miezi ya mwisho ya ujauzito. Iwapo yatanywewa bila kuzingatia hilo, mtoto aliyetumboni anaweza kudhuriwa bila kufahamu.

Mjamzito asinywe dawa bila ushauriwa na daktari. Hata kama unaumwa na kunadawa za mtu mwingine, kwanza shauriana na daktari au mtaalamu wa dawa. Madawa ya kulevya ndio hatari zaidi.

Wajawazito washauriwe kuacha kabisa utumiaji wa madawa haya haramu.Miezi 7- 9 ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote.

Mpaka sasa tumbo limeshakuwa kubwa na umeshasikia mtoto akicheza tumboni. Ndani ya miezi ya ujauzito, mtoto hupata mabadiliko makubwa yanayohitimisha ukuaji wake. Huongezeka uzito kutoka kilo 1 mpaka kilo 3.

Katika kipindi hiki cha tatu cha ujauzito third trimesterbaadhi ya dalili za mwanzo za ujauzito zinaweza kurudi au kujitokeza zaidi. Ni kipindi ambacho unaweza kuwa umechoka, ukitamani wakati ufike haraka ujifungue. Kipindi cha pili cha ujauzito second trimester ulianza kuhisi mtoto akicheza tumboni, katika kipindi hiki utasikia zaidi mtoto akizidi kucheza kujigeuza, kurusha mikono na miguu.

Wakati mwingine anaweza kuwa anacheza kiasi cha kukuamsha kutoka usingizini au kusababisha ukose usingizi. Unaweza kuona movement za mtoto nje ya tumbo, ukazigusa na kuzihisi.

Muda wa kujifungua unapokaribia, mwili wako nao unajiandaa kuweza kumlea mtoto. Matiti yako yatendelea kukua, ili kuwa tayari kuanza kunyonyesha. Yanaweza kuanza kutoa maziwa ya njano hivi, haya ni muhimu kwa siku za mwanzo za mtoto akizaliwa.

Mtoto tumboni anaendelea kukua mpaka kufikia wastani wa kilo 3. Kukua huku husababisha tumbo kuendelea kuwa kubwa, likikua kuelekea juu na baadae kushuka chini wakati wa kujifungua unapokaribia.

Fahamu njia za kutambua jinsia ya mtoto atakayezaliwa

Utaanza kupata mikazo ya tumbo isiyouma ambayo hujulikana kama Braxton Hicks contractions, hutokea kwa muda mfupi na kuacha. Tofauti na mikazo ya uchungu labor contractionsmikazo hii huwa haiumi na hujitokeza bila wakati maalumu. Endapo unapata mikazo inayouma, na kuongezeka Kadri muda unavyoenda wahi kituo cha afya mapema. Mabadiliko ya kihomoni katika kipindi hiki huchangia kuongezeka kwa majimaji ya uke.

madhara ya mtoto kucheza sana tumboni

Huwa ni ya kawaida yasiyowasha wala kuwa na harufu mbaya. Onana na daktari wako haraka endapo maji mengi kwa ghafla, yenye damu damu harufu au kuwasha. Mtoto wako anavyozidi kukua, homoni hulegeza misuli ya mifupa ya kiuno na uzito wa mtoto kuja maeneo ya kiunoni.

Kaa kwenye kiti chenye support nzuri, epuka uvaaji wa viatu virefu na pata godoro zuri la kulalia. Ikiwa maumivu ni makali yakiambatana na dalili nyingine, onana na daktari mapema. Kipindi hiki utapata hali ya kukojoa mara kwa mara, na wakati mwingine mkojo kuvuja polepole bila wewe kujua.

Inatokana na tumbo la uzazi kukandamiza kibofu cha mkojo, na hivyo mkojo kutoka mara kwa mara. Ni vizuri ukavaa nguo za ndani za pamba na panty liners na kufanya mazoezi ya Kegel ili kudhibiti mkojo unaovuja. Endapo unapata maumivu wakati wa kukojoa, maumivu chini ya tumbo, homa na kukojoa mara nyingi zaidi ya kawaida, onana na daktari kwani zinaweza kuwa dalili za UTI.

MIEZI 6-7 UKUAJI WA MTOTO TUMBONI SEHEMU YA 3(tatu)

Katika kipindi hiki tumbo la uzazi hukua kuelekea juu na hivyo kulisukuma tumbo la chakula kutoka katika nafasi yake, hivyo kusababisha asidi ya tumboni karudi kwenge mrija wa chakula na kusababisha kiungulia. Pata mlo kidogo lakini mara kwa mara, punguza juisi zenye machungwa, ndimu au malimao. Kiungulia kikikusumbua sana onana na daktari wako juu ya dawa. Kutopata hewa ya kutosha au kushindwa kupumua vizuri hi hali inayojitokeza mara kwa mara katika kipindi hiki.

Hii inatokana na tumbo la uzazi kusukuma mapafu na kuongezeka kwa mahitaji ya oksijeni.